Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa sababu ya kufanya hivyo ni ili kupata uhalisia na hisia za moja kwa moja.
“Amecheza kama mtoto wangu na amakuja kujaribu, kuwa sure kama anaweza kufanya kwa sababu mwisho wa siku Cookie ni mdogo sana lakini nilitamani kucheza naye ili nipate ile feeling like iniume kama kama Mama,” amesema.
“Watanzania wameshachoka na vitu ambavyo tulikuwa tunavifanya, wanataka vitu vipya, sasa nimewatengenezea kitu kipya kutokana na mimi hadhi yangu ipo kivingine, now am mama kwa hiyo nafanya kama Mama,” ameongeza.
0 Comments