Katika show hiyo iliyojulikana kama Safaricom Private Party, Diamond alienda sawa na mashabiki wake jukwaani ila warembo kutoka jijni humo walionekana kumpatia zaidi muimbaji huyo kutoka WCB kitu ambacho kilileta burudani ya aina yake kwa waliohudhuria.
0 Comments