Breaking News

header ads

Maneno ya pongezi ya mhe. Nape kwa Haji Manara

Jana tarehe 18/01 mhe. Nape katika ukurasa wake wa Twitter alitoa maneno ya kumpongeza Haji manara akiambatanisha na pongezi zake kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa.
"Kaka, rafiki, na ndugu wa kweli. Umeufanya mpira nchini kuwa bora kuliko ilivyokuwa kabla hujaanza kazi hii! Mungu akupe maisha marefu na mema! Happy birthday brother! 🎂"

Chanzo:Twitter

Post a Comment

0 Comments