Mheshimiwa mbunge wa jimbo la kigoma-ujiji Tanzania Zitto Kabwe, azua maswali vichwani mwa watu baada ya kupost tweet ya video inayoonesha kupingana kwa maelezo ya polisi kuhusiana na mwanachuo aliyedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana.
Tumekuletea karibu video hiyo upate kujionea mwenyewe hapa
0 Comments