Breaking News

header ads

LIVE: MAGUFULI AKIONGOZA MKUTANO WA 11 NA WAFANYABIASHARA


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anaongoza Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara, mkutano unaofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Machi 19, 2018.
Katika mkutano huo, wafanyabiashara na kutoka sekta binafsi wanaieleza serikali changamoto zinazowakabili katika bishara zao ikiwemo ushuru, kodi na tozo ndogo ndogo ili kuendana na mkakati wa serikali wa kuinua na kukuza viwanda nchini.
FUATILIA MKUTANO HUO HAPA

Post a Comment

0 Comments